Good tutaongeza ubora zaidi kuna kitu naplan tukilete humu tukifanye mm naww hope itakua bomba.Itakuwa poaa na mm nikipitapita nachombeza mapicha
baby hatutapitia ya darajaniMweeehuuu wewe utapiga mbizii
sawa baba mshauriNi mshauri wakee
Good tutaongeza ubora zaidi kuna kitu naplan tukilete humu tukifanye mm naww hope itakua bomba.
Juzi kati ulianzisha tabia ya kuongea kwa picha naona siku hizi umetulia ilikua inapendeza ujue.
Kwenda wapiibaby hatutapitia ya darajani
Hahaaaaa ok mkuu
Sijatuliaa mkuu
Hapanaaaa bhanaaaaaahMmh ukapitia na club
swali gan tena hilo jamaanKwenda wapii
jana ulikua wapiHapanaaaa bhanaaaaaah
teh teh... Aliniomba link, nimemuwekeahahahhh nilifurahi jana ulivyomkalibisha huku hatutaki maneno
Umejua kuzikusanya kweli.teh teh... Aliniomba link, nimemuwekea
The distance between Egypt and Israel is about 613km.But it took Moses and the Israelites 40 years to complete their journey. On average each day they walked only 43 metres.
Yes only 43 metres,almost half of what Usain Bolt do in 5 seconds.
I just wish if Moses was around to explain this laziness.
Nimeamka salama pia!!Morning my world..
Hujambo kipnzi?
I hope umeshamka mamie! I hope uko salama..! Muda wa kwenda kupambana sasa...
Uwe na siku njema mamie..
I love you..
Mkuu nahisi ni rotation ya picha moja imegeuzwa nyingine iko sawaSamahani waungwana,
nina swali dogo nitaomba ufafanuzi wenu.
Ukiiangalia picha inayomuonyesha Rais mstaafu akiwa Bungeni jana,
1) Gazeti la Mwananchi na Tanzania daima inaonekana aliyefaa suti ya bluu yupo upande wa kulia wa Jakaya Kikwete,
2) Gazeti la Mtanzania na Uhuru inamuonyesha mtu huyo huyo yupo upande wa kushoto,
Swali, je imekuwaje hivyo? Wakati wote wamekaa sehemu moja? Au hao wasaidizi wake walibadilishana mkao?
Wataalamu picha na Kamera nisaidieni, na wengine pia kama una chochote usisite kuchangia.
Hiyo ni introduction to JLW, jiandae mtaala kamili unakuja.Umejua kuzikusanya kweli.
mnyama yupi kwanzaAngalia jinsi mnyama alivyopokea kipigo.
MmhMiseleeeeee
Simu iliishaa chaji