Makapuku Forum

Jukwaa la wakubwa napitaga tu ndio maana hakuna comments yangu...mmu hua naenda kuchekesha watu tu.
na topic yako ya kutaka kukaribishwa jana ilikua ulikua unapita tu

ngoja nikwambie mondray labda hauelewi unavyosema majukwaa yangu ni chit chat na intelligence unatakiwa ata majukwaa mengine hata usionekane si kulike au comments hapo utakua umenielewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…