Makapuku Forum

Wapendwa makapuku naamini mmeamka salama ,namshukuru Mungu nimeamshwa salama nawatakia siku njema yenye baraka tele wagonjwa poleni,na wenye changamoto mbalimbali msikate tamaa Mungu ataingilia kati,wafiwa Mungu awafariji,watu wote Mungu awatangulie katika kila jambo kazi zenu zikapate baraka na mafanikio mtangulizeni Mungu katika kila jambo..mbarikiwe sana sana.Amen
 
NUKUU YA LEO

Kama jana ulianguka, leo simama

If you fell down yesterday, stand up today


Haya maneno yalipatwa kusemwa na Bwana Herbert George Wells, mwalimu, mwanahistoria , na mwaandishi wa Vitabu aliyeishi mwaka kati ya Sept 21 1866 hadi August 13 1946.

Hii Nukuu ilitolewa ikiwa na lengo la kuwapa watu moyo wa kutokata tamaa, kuwapa vujana moyo wa kujaribu tena kile kilichoonekana kushikana jana, kuwapa watu nafasi yaliyopita na kujaribu tena jambo..

H.G.Wells atakumbukwa pia kwa kazi zake nyingine kama The time machine, The invisible na The fisrt man on the moon..





Allways start from the ashes of yesterday's failure..

Goodmorning fam...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…