ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,905
- 42,073
Usichepuke mpenSawa ila utasababisha nichepuke.
Usichepuke mpenSawa ila utasababisha nichepuke.
kwa hiyo me simo...[emoji19] [emoji19] ..??..baby chakula tayari karibu kula wakaribishe na shemeji zangu bila kumsahau dada angu [emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] ...!!!....Aiiiiseewwwh hakijaivaa
unanichanganya ujue dada ake..?? ni joshy au lee empire..??[emoji45] [emoji45] ....sijakuona mda karibu sana nipo huku kwa shemeji yako joshy nimekamatika
mwambie bhana...[emoji19] [emoji19] ..!!..mambo unayoyapenda hayo baby sio kila anaenisalimia ananitaka hapana n marafiki tu uwe na amani zote
Siwez chepuka maana sio tabia yangu ndio maana kp nzima mm sina Baby zaid yako..Usichepuke mpen
[emoji5] [emoji5] ...Badilika basi mdogo wangu, wanaume wenyewe hawa wachache
ishakuwa vita tena...[emoji2] [emoji2] ...!!..mahaba tupa kule...Hebu mshtue na kelbu moja
Haya mpenz nakuandalia dinner hapaSiwez chepuka maana sio tabia yangu ndio maana kp nzima mm sina Baby zaid yako..
Ahsante karembo kangu. Utaniita nipo hapa hapa kpHaya mpenz nakuandalia dinner hapa
[emoji87] [emoji87] [emoji87] ...!!!...Uchochezi gani tena jamani
Au nimwambie achepuke
Usijal myAhsante karembo kangu. Utaniita nipo hapa hapa kp
Shalom kamandaHakika
na ww unataka kuhudumiwaHuduma gani iyo jamani nimeskip [emoji23] [emoji23] [emoji23]
chakula gani hiko babaMmmmmmh hujuee chakula walichonacho nimekimisiiiuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani blaza kuskia khabaereee...ya bechee ndondo(full nazi)+ndizi mbivu na kachumbali....njaa tayarii....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....ubeepwiki.....???...
ni lee chief halaf story ya steve nimeikuta jukwaa la matangazo mods bwana steve analalamika anawaambia sio biashara hiiunanichanganya ujue dada ake..?? ni joshy au lee empire..??[emoji45] [emoji45] ....
Ndizii mushaleeechakula gani hiko baba
Anamdekeza sana bhana, ila Kofi la mupenzi haliumiishakuwa vita tena...[emoji2] [emoji2] ...!!..mahaba tupa kule...
MmmmmhNdio umenichunia mpenzi