Makapuku Forum

Makapuku Forum

images
 
Wakùu tuwe na siku njema ...tukumbuke hii wiki ni yetu #kapuku' week ...
945bf486bff039eb306a5a6b2da1bb06.jpg
 
Asante na Amen Lee Mungu akubariki sana kwa huduma yako ya magazeti ,Mungu abariki kazi ya mikono yako uwe n wiki njema yenye baraka na mafanikio Amen
 
Bae
Nawe pia ulale salama!!! Mungu wangu na akufunike kwa damu yako.

Nakupenda mpaka moyo wangu wasukuma tu jina lako umegoma kusukuma damu, T naamini wewe ndo mwanaume wa maisha yangu.

Nazidi kukupenda
Morning my princess..

Morning roho yangu..

Hope bado umepumzika manake sio kwa kukesha huko..

Hubby loves sweetie...

Uwe na siku njema mama!


Loves you forever!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom