bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,350
- 23,460
huu ugonjwa cjui kma nitaponabullar kwenye ubora wako
huu ugonjwa cjui kma nitaponabullar kwenye ubora wako
Kwema kakaKwema mkuu?
Aise kwema kabsa....ila nimechelewa kuingia mpaka sijamkuta nyagei na mondrayKwemaa kiongozii
Mpenda shura/churabullar kwenye ubora wako
Bullar sipati picha ukubwa wa Chura ya Mke wako![]()
![]()
![]()
![]()
fundi sofa hukalia vigoda nyumbaniUnaitwa hata hausikii!!Hahahaaa!
No brooh!
Ni kuku!!!Wamelalianaa waachee
![]()
![]()
![]()
![]()
Agiza bia mbili kama tulivyo majogoo tunatoboa!Wakubwa tunakeshaaaa
Mdharau mwiba mguu huota tende...avatar fake inawachanganyaaalee anawacheka kwa dharau
Imani yetu inakataza au bado unaswali gigyAcha uzushi, nani anawazui!
Ndivyo tulivyo. Ulikuwa hujui?kumbe ndio mlivyo![]()
Haujui kama ukweli unauma!?!?Mdharau mwiba mguu huota tende...
Lakini kweli. Mambo ya mtandao haya huwezi jua. Siku ya siku inafika unakuta Shunie mwenyewe kumbe dume. Au ana mwonekano wa kivingine kabisaaaa...
Kuna jamaa juzi juzi hapa kashusha "mzigo" moto kutoka Italy. Wamechat muda mrefu sijui Badoo sijui wapi binti wa Kiitaly kashuka JKIA kwa mbwembwe kumfikisha lodge ndiyo anagundua kumbe ni dume jike. Kwa jinsi alivyokuwa anatutambia kuwa sasa kapanda level ya international ilibidi ajifiche karibu mwezi hatumuoni. Baadaye karudi sawa ndo ameanza kuonekana japo hasemi kilichotokea kwa sababu jike dume alikaa nalo siku 4 nzima lodge.
Haya mambo ya mtandaoni ni magumu!
Kama kawaidaaaaAgiza bia mbili kama tulivyo majogoo tunatoboa!
Mdharau mwiba mguu huota tende...
Lakini kweli. Mambo ya mtandao haya huwezi jua. Siku ya siku inafika unakuta Shunie mwenyewe kumbe dume. Au ana mwonekano wa kivingine kabisaaaa...
Kuna jamaa juzi juzi hapa kashusha "mzigo" moto kutoka Italy. Wamechat muda mrefu sijui Badoo sijui wapi binti wa Kiitaly kashuka JKIA kwa mbwembwe kumfikisha lodge ndiyo anagundua kumbe ni dume jike. Kwa jinsi alivyokuwa anatutambia kuwa sasa kapanda level ya international ilibidi ajifiche karibu mwezi hatumuoni. Baadaye karudi sawa ndo ameanza kuonekana japo hasemi kilichotokea kwa sababu jike dume alikaa nalo siku 4 nzima lodge.
Haya mambo ya mtandaoni ni magumu!

Kagame upo ndugu!?Ni kuku!!!
Hii ni self sio kick![]()
Kiki kila mtu anaitaka!!
Majogoo tunafikaKama kawaidaaaa