Makapuku Forum

Makapuku Forum

2bc2de66ce3b8887c6d503cfac485428.jpg


Kiki kila mtu anaitaka!!
Hahahaha
 
Sasa uko lodge siku nne walikuwa wanapiga story au

Ndo hapo sasa. Jamaa hataki kusema kilichomtokea. Mbaya zaidi jike dume lenyewe inaonekana ni international prostitute. Limetoka hapa hiloo linakwenda Angola kwa mwaliko mwingine. Jamaa hapa alipo hana raha kabisa. Tamaa ya kupata mzungu imegeuka aibu kubwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom