Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Nakwambia Msukuma nimekamatika mpaka basi. Siku moja nitaleta mrejesho hapa!Kwema kaka.....naona bado unahangaika na guu la Shunie
Nakwambia Msukuma nimekamatika mpaka basi. Siku moja nitaleta mrejesho hapa!Kwema kaka.....naona bado unahangaika na guu la Shunie
Na machale kundesaMwenzangu
Ngastukaa
AganzaNani ananiita huyo
Huyu jamaa anaonekana kutumia nafasi adim vzr
Mboga za majani nzuriiiWanakapuka habari ya kushinda!?
Thanks.... Kwa kunikalibisha nyumbani makapuku!!karibu sana
Ikipaa mmjulishe Gwajima. Kuwa helikopita yake aliyokwenda kutamba nayo Koromije imepata mpinzani!
Aiseee sio la nchi hiii
Ana wivu balaa yule. Arudishe ndizi za watu achekwe. Hata zimuozee ndani sawa tu. Ana roho ya ajabu sana!




tumeshakujua shemelaShshshsssss![]()
Heshima yako Mkuu!!Aganza
MshengaKwema kaka.....naona bado unahangaika na guu la Shunie
Hahahaaa! Mmejua nini?tumeshakujua shemela
Aaaaa wapi? Kuteseka kote huku unakonitesa. "Maumivu" yatakuwa mubashara!na ikinitokea hautajua nitaumia kimya kimya
Mondry mambo!Nakuona nakuona mzee mkavu.