Makapuku Forum

Makapuku Forum

Siku hizi watu kusingizia mimba ili wapate vitu vingine mf. hongera, sympathy, off kazini na mengineyo ni jambo la kawaida. Kuna binti mmoja yeye aliwapiga adoption agency kuwa ana mimba na mtoto atamtoa awe adopted, na familia ikapatikana wakawa wanamtunza kwa kumnunulia vyakula organic ale vizuri, wanamnunulia prenatals, wanamlipia mpaka kodi ya nyumba kumbe porojo tu. Zikifika siku za kwenda kwa daktari kupiga ultrasound binti visingizio kibao. Ndiyo baadaye ikajulikana kumbe ilikuwa mimba hewa na sasa kesi inaunguruma mahakamani. Mjini hapa mkuu be careful unaweza kutapeliwa hata emotionally
Ngumu kumeza hii
 
Mfyuuuuuu
6177e2773676d61fb1dcdb46ceee2ed8.jpg
 
yaan we na Numbisa mngeelewana kwa mapicha
Numbisa ndiyo nani? Mapicha haya ni sawa na emoji tu na yanasaidia sana. Hapo juu umenisonya/umenitukana mfyuuuu! Sasa ulitaka mi nisemeje jamani? Ulitaka pia nikutukane? Mimi kweli nimsonye/nimtukane Shunie? Hell no! Ndo maana nimeishia kucheka tu. Avatar ya kawaida ya ni overused na wakati mwingine ni vizuri kuleta vionjo vingine. Vumilia!
 
Numbisa nae hivyohivyo anamjibu mtu kwa picha tu yaan nilivyoona hivyo nimemkumbuka yy yupo humu jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom