Makapuku Forum

Makapuku Forum

aiseeee shunie mm huyo au nyie mna shunie wenu mliemuunda wenyewe
Ni wewe. Inaonekana uko mashuhuri sana hapa JF. Najaribu kufuatilia umaarufu huo unatokana na nini. Nina nadharia tete (hypothesis) kadhaa ila ninayoitathmini kwanza pengine ni kutokana na uzuri wako. Nikimaliza hiyo nitaangalia upole na utu wako na jinsi unavyojibizana vyema na watu hapa JF (sijawahi kukuona ukitukanana na mtu; na hiki hasa ndicho kilinivuta kwako kama sumaku). Nikimaliza hii nitajaribu pia kuangalia kama mzee wa wivu naye anakupandisha chati. Kama nitakuwa sijapata majibu itanibidi nigeukie hata upande wa pili...

Imagine hata huyu naye anadai eti siku ya Valentine alikuwa amembeba Shunie. Shunie, Shunie kila kona duh! Au huyu ndiye Prof. wa wivu hapa JF? Beautiful couple...
14c69f558bec765b2593adf325ba22b6.jpg
 
Usipo msema shunie hutuliii

Jiulize y anazungumziwa kila kona ila katulia na Mimi

Mkuu unachokitaka utakipata
 
Mkuu Nyagei. Honey Badger huyu hapa anatishia uhai wangu laivu. Nifanyeje?

Mkuu Lee, hizi ndizo shida za kuoa mwanamke mrembo. Mwanamke mrembo kama Shunie ni wa wote kwa hivyo vumilia tu kwa sababu hakuna namna. Vinginevyo utagombana na kila mwanaume hapa JF...
 
Achana nae kijana ...alafu futa kaul ni wangu tu sio wote
 
Mkuu Nyagei. Honey Badger huyu hapa anatishia uhai wangu laivu. Nifanyeje?

Mkuu Lee, hizi ndizo shida za kuoa mwanamke mrembo. Mwanamke mrembo kama Shunie ni wa wote kwa hivyo vumilia tu kwa sababu hakuna namna. Vinginevyo utagombana na kila mwanaume hapa JF...
Dawa ya honey badger ni kumpa tu pilipili kwenye asali yake
 
Ni wewe. Inaonekana uko mashuhuri sana hapa JF. Najaribu kufuatilia umaarufu huo unatokana na nini. Nina nadharia tete (hypothesis) kadhaa ila ninayoitathmini kwanza pengine ni kutokana na uzuri wako. Nikimaliza hiyo nitaangalia upole na utu wako na jinsi unavyojibizana vyema na watu hapa JF (sijawahi kukuona ukitukanana na mtu; na hiki hasa ndicho kilinivuta kwako kama sumaku). Nikimaliza hii nitajaribu pia kuangalia kama mzee wa wivu naye anakupandisha chati. Kama nitakuwa sijapata majibu itanibidi nigeukie hata upande wa pili...

Imagine hata huyu naye anadai eti siku ya Valentine alikuwa amembeba Shunie. Shunie, Shunie kila kona duh! Au huyu ndiye Prof. wa wivu hapa JF? Beautiful couple...
14c69f558bec765b2593adf325ba22b6.jpg
aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom