Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,847
Mambooo binti.I miss you too
Where have you been?
Love you.
Mambooo binti.I miss you too
Where have you been?
Njema mkuuHabari za mchana wakuu
Jamaniiiiii wako wapi sasaWerrason & Denoo49
Hapo jee¿¿avatar hiyo mbayaaa ya ray vanny
hahahhh unataka kuchagua mama mchungajiJamaniiiiii wako wapi sasa
Hebu akalale na mtoto hukoWewe si umejifungua jf umefata nn??
Kanyonyeshe hukoonimekuja kuwasalimia shemej zanguau hamtaki
NzuriHabari za mchana wakuu
Halafu huwa sipendi hiyo idavatar hiyo mbayaaa ya ray vanny
HahahaHebu akalale na mtoto huko
Kanyonyeshe hukoo


Dada mtto wako anasema mpigie tena simu uongee naeHebu akalale na mtoto huko
Baby swtymko poa mashemela wa mm mnaendeleaje
Alafu taarifa za kujifungua umezitoa wapi nimesema yupo hosp anko badoWewe si umejifungua jf umefata nn??
Baby simu ilikuwa silentnamtafuta baby wangu sijui kafichwa wapi simu hapokei
Mpk saa ngp ss tutamuona ankoAlafu taarifa za kujifungua umezitoa wapi nimesema yupo hosp anko bado

Baby uchocheziiihahahhh unataka kuchagua mama mchungaji