Makapuku Forum

Shem
Kwa nini unashindwa kunielewa, mie Sina shaka na wewe. Mdogo wangu anakupenda sana, na naomba nisiwe sababu ya kusambaratisha forum yenu
 
hahahh sio vita mm nimeuliza tu naonaga tu swala la kujibebisha kwao ni big no naona ukiwa nao chumbani utaambiwa oyaa nimeshavua nguo njo sasa [emoji23]
Toka umeanza jibebisha umepat nn labda kwa mfano?
Helo helo hhah usingemdanganya shem yako kma umeachana na shemela wngu hahahaha ili uwe nae
 
[emoji122] [emoji122]
 
Mara ya kwanza Lee anaunga mkono kile T anachokiamini..

Mwambie Sakayo ni utani bhana.
 
Kiruuuu kumbe kuna mapenz ya kweli hhahahahhaha Yesu nafwaa mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…