Makapuku Forum

nimecheka kwa sauti
Quigley nakumbuka maneno yako ujue mapenzi kitu kingine unaweza chizika sakayo hii adhabu inatosha eb msamehe
 
Pale mbowe anapomtakatisha Lowasa.

Wala sikulaumu, uzuri bi mkubwa yupo humu.

Halafu shemeji mie nimekula kuwasalimieni tu jamani. Hebu tuyaache haya
Hapana usiseme hivo clkey ni kapuku mkubwa humu anajua utanii na kuna mda tukitaniana humu mtu anaweza sema tuko siliasi si unajua wengine huku ndo faraja yetu pakipoa tunatafuta chochote challenges ,kero n.k

Plz nakuomba mara ngapi nakwambia uzoee utani wetu plz shemu plz

Bhasi unataka wote tuame kapuku


Au unataka mdogo wako anikimbiee plz najutia utani wangu
 
 
that's why i love u
umenifurahisha sana
 
Bora uongee ukweli mkuu..
Sakayo dadangu Nakupenda sana:
Naomba nikushauri kitu na unisikilize mimi kakako.
-nimeamini Trancsend akupenda
-mpe nafasi tena
-usiwe mjinga kuacha dhahabu kisa imedondokea matopeni, ifute ichukue thamani yake iko pale pale
-uwe jasiri kutetea na kulinda hisia zako na asikutibulie mtu.
Sahau yalopita chukua kitu chako songa mbele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…