- Mwezi wa 4 tutashuhudia, kuzaliwa kwa baadhi ya watu maarufu kama vile Malkia Elizabeth wa II,
William Shakespere,
Adolf Hitler
Charlie Chaplin
J.K Nyerere
John Cena
Leonard Da Vinci
Ni wakati akiigiza filamu yake ya The Crow ambapo alipigwa risasi halisi iliyokuwa imewekwa kwenye bunduki ya kuektia.
Ni mtoto wa staa wa zamani wa filamu za mapigano Bruce Lee.
Inasemekana kifo chake ni hujuma kutokana na kwamba, alienda Hong Kong kuchunguza kifo cha baba yake, hivyo alivyorudi Marekani akasema amalizie kwanza Movie yake kisha ataje kilichomuua baba yake, matokeo yake akafa na siri yake.