Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Mkuu wakati najiandaa kubembeaa kwa mamah nahisi atalia yeye si unajua vikelele vyao ??Mkuu
Unataka kulala ukilia usiku huu?
Mkuu wakati najiandaa kubembeaa kwa mamah nahisi atalia yeye si unajua vikelele vyao ??Mkuu
Unataka kulala ukilia usiku huu?
Kwema, naona mnalisongesha [emoji111] [emoji111] [emoji111]Swadakta mkuu..
Kwema?
Vizuri[emoji23] nimekuelewa
Atasoma kesho mda wa kulalaBurundi kwema. Nilishaondoka huko. Sasa niko laivu Koromije.
Nilifanya kosa nikakaa siku 2 Kigali kwa classmate wangu. Maweeee! Wanawake wazuriii yaani mpaka basi. Wanyarwanda aisee kiboko. Kwema wewe? Bruce Lee anasemaje?
Tuliza boli. Wake za watu hawa wa siku hizi hawa? Mambo iko Rwanda mkuu.Kazi kufikiria wake za watu
Sawa mtengee Lee chakula akule ya usikundoa Nyagei nitafanya nn nakua mpole tu
[emoji1] Af shem yu wapi?Shwanga Baba mchuchu
Jamani kwaresma hiiunataka tuwahamasishe wakina Nyagei wazee wa geisha [emoji23]
Sawa mtengee Lee chakula akule ya usiku
Ila ngoja nikae kimya maana sina tabia ya kuharibia mtu..Mkuu wakati najiandaa kubembeaa kwa mamah nahisi atalia yeye si unajua vikelele vyao ??
SociologyHehe somo gani?
Kisheti ameenda wapi?Jamani kwaresma hii
BTW ni paroko
[emoji102]Watajijuaa kwani kuku si 300 ?? Au siku hizi wanatumia omo ??
Sociology
Usicheze na kivuli hakina adabu kabsa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itakuwa anamuwinda BaanangeKisheti ameenda wapi?
Atakijibu mkubhiNawe unatenga au unatengewa?
Niko hapa joohKisheti ameenda wapi?