Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
penda we mingiiiiiiiNdio kama hivi kaka nimekuja kidoogo halafu naishia. siwezi kuwatupa ndugu zangu.
Penda sana nyie
penda we mingiiiiiiiNdio kama hivi kaka nimekuja kidoogo halafu naishia. siwezi kuwatupa ndugu zangu.
Penda sana nyie
sawa diktektaSikwenda nafikiri pasaka hii ntakuwa huko
Dahh kwel mi mwenyew inanipashida vip lkn mzee mkavuMzèe mkavu uko poa ??
Ila usiquote magazeti mkuu
Shimba ni bingwa wa mbavuAsubuhi yangu imeanza kwa kucheka...baada ya kuona hii hapa.
Morning family

Kwema sana emmyta unajua uonekani mamaieSalama! Kwema huko?
Bangii tuuMkuu hatuquote magazeti
Babu Anawahadithia Wajukuu Zake Hadithi
Babu: Tulipokuwa Vitani Tulitekwa Na Maadui, Nusu Yetu Waliuwawa Na Nusu Nyingine Walibakwa.
Wajukuu: Babu Kwa Hiyo Wewe Ulikuwa Kundi Gani?
Babu: Nani?
Wajukuu: Wewe!
Babu: Nani? Mimi.... Mimi... Niliuwawa!![]()

Kwani shemela shunie yupo na bannedHabari za leo makapuku wapendwa ,naamini mmeamka salama namwomba Mungu awasaidie katika kila jambo wagonjwa awaponye,wenye kuuguza Mungu awatetee,wafiwa Mungu awafariji,wenye changamoto mbalimbali Mungu aingilie kati,nawapenda sana sana naomba Mungu atupe amani na mafanikio....tuombeane heri na baraka tele,namuombea Shunie jamani amalize Ban.....nammiss sana.mbarikiwe.

Vizuriii kabisaMko poa wadau
hahahha nikiwepo mm hakuna kinachohalibika wanasema et unawakosesha usingizihivi ni nyagei na Snipes au mana mondray anao mababy zake
Wiii nlisoma upo korokoroni tenasawa diktekta
Shukran1981 - Rais Ronald Reagan wa Marekani anashambuliwa kwa risasi kifuani alipokuwa akitoka katika Hotel huko Jijini Washington D.C
Risasi hizo zilimpata kwenye mbavu na kusababisha damu kuvuja ndani kwa ndani. Kama sio kukimbizwa Hospitali ya karibu angepoteza Uhai wake.
Kutokana na tukio hilo, kumekuwa na utaratibu wa kutembea na damu ya akiba katika gari la Rais wa Marekani ili kujaribu kuokoa maisha ya Rais pindi inapohitajika.
Alishambuliwa na John Hinckley Jr ambaye alikuja kuachiwa baada ya kuonekana ana tatizo la akili.
Watu watatu walijeruhiwa ambao ni walinzi wawili na katibu wa Rais, James Brady ambaye alipooza mwili wote.
Miaka mingi baadae ilikuja kusemekana, Makamu wa Rais wa Marekani kipindi hiko, George H.W. Bush alikuwa nyuma ya Jaribio hilo la kumuua Rais ili yeye achukue madaraka, kwani Katiba ya Marekani inasema endapo Rais atafariki Makamu wa Rais ataapishwa kuwa Rais.
Pia Rais Reagan vita yake dhidi ya madawa ya kulevya ndio ilisababisha jaribio la kujaribu kumuua.
Ndio Rais wa mwisho wa Marekani kupigwa risasi akiwa Madarakani lakini hakufa.
Juzi ulifunguka ! Hahahaaa!
K€₩£₩€₩& wewe
K#&$¥#¥$¥ ya mama #₩$£$€#¥
Loooh![]()

Kazi kufikiria wake za watuHata mimi nililigundua hilo lakini ikawa too late. Sitarudia tena!
Kwa hyo mm wa kiume nitake radhiAfu jana wanawake wa humu mlikuwa wapi?
Sakayo
Mama mchungaji
Shunie
Ukhuty
Queen kan
Madame s
Paprika
Manake tulibaki wanaume tuu...!
Kuleee isipokuwa mama mchuchuAfu jana wanawake wa humu mlikuwa wapi?
Sakayo
Mama mchungaji
Shunie
Ukhuty
Queen kan
Madame s
Paprika
Manake tulibaki wanaume tuu...!
mmh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unazibia watu rizik