Unaweza kuwataja walionipa kibuti mkuu??Uyu mondray anaongoza kupokea vibuti humu
Hivi kuna mambo ya upande kumbe?Mume wake ni mjombaangu na ana ugomvi na Transcend , niko upande wa mjomba lee empire


Sasa hiyo amsha popo yenyewe anakuja kuchungulia tu. Hata kunitafuta daaah!!!Baanange ukhuty atakuja mida ya hamsha popo
Mkuu siriaz umechukia.Hivi kuna mambo ya upande kumbe?
Kaeni woooote upande mmoja!
I will stand alone..
Wacha kupaniki kijana...!Povu lote hilo ajili yangu??
Kumbe hii ishu ipo siriaz sana hadi kama mm umeweza niambia hivyo basi kuna kitu.
Nilichukulia poa hii ishuu.
Naona lee mtachukiana sasa kwa hali hii
Take it easy, mwenzio kajeruhika, atarudia hali yake usijaliPovu lote hilo ajili yangu??
Kumbe hii ishu ipo siriaz sana hadi kama mm umeweza niambia hivyo basi kuna kitu.
Nilichukulia poa hii ishuu.
Naona lee mtachukiana sasa kwa hali hii
Mpambe eeeMume wake ni mjombaangu na ana ugomvi na Transcend , niko upande wa mjomba lee empire
Sasa watu wanataka nirudi kwa Clkey...
Wakati Clkey kila mtu akija hapa ni mme wake..
Ray van boy
Fakalava
Johnson mgaya
Ndo uniweke hapo kwenye hiyo list..
What a shame?

Sasa hiyo avatar yako ina potray nini?Usiongee masuala ya ganja-weed mama mchungaji BlessedHope hapendi
aisee ngoja nikuitie huyu mtu ndio anashughulika na pm yangu lee ukuje biashara ya matangazo etUlimodify
hahahahMume wake ni mjombaangu na ana ugomvi na Transcend , niko upande wa mjomba lee empire
Mmh hayupo serious banaPovu lote hilo ajili yangu??
Kumbe hii ishu ipo siriaz sana hadi kama mm umeweza niambia hivyo basi kuna kitu.
Nilichukulia poa hii ishuu.
Naona lee mtachukiana sasa kwa hali hii
HUA SIPENDI NIMKWAZA AU KUONA MTU KAKWAZANA NA MTU.Take it easy, mwenzio kajeruhika, atarudia hali yake usijali
Amani ya bwana imetawala ndani yangu.... Shida kuwamisi makapuku tuPouwa mkubhi..
Uko pouwa?
Dogo mbona hujiamini?Mkuu siriaz umechukia.
ahhaahhah maombi na vikojoz mida yao umemaanisha nn binamuHa hahahahah, mida ya maombi na vikojozi