Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mwambie mmewe anampenda !tupo pamoja wasikutishe shemela yataisha
Alafu nimegundua ndo nazidi kumpenda yakitokea haya...!
Mwambie mmewe anampenda !tupo pamoja wasikutishe shemela yataisha
Sawa.
Wacha tu ukhuty kanikimbiaVipi, kuna mrejesho wowote wa kampani au kampuni imefilisiwa?
Nikimaliza ntakuambia na alafu iyo tabia yako mbaya ya ubinafsi na uchoyo ya kufunga pm umeitoa waputafiti wa kisayansi unahusiana vipi na kubadilisha avatar
Ohooooo!!!Unanihama?
Kwani did we have a contract?
Mapenzi hatare sanaYaani unaonekana una majonzi
Ukisoma chat za kuanzia leo saa 4 utamuonea huruma jinsi alivyokuaMapenzi hatare sana
Shunie shemeji yangu...Nawewe utulie
Pm kwa shunie unataka nini?
Si utulie na Sakayo
Kumbe ni halali lee akupigilie misumari.
Ukiendelea namm nitakuhama.
Wacha tu ukhuty kanikimbia
Ila haina noma mm ni sterling
Nitapata mwingine
hahahhh ushakimbiwa tenaWacha tu ukhuty kanikimbia
Ila haina noma mm ni sterling
Nitapata mwingine
NilimsomaUkisoma chat za kuanzia leo saa 4 utamuonea huruma jinsi alivyokua
pm kuna nn si apa tunaongeaNikimaliza ntakuambia na alafu iyo tabia yako mbaya ya ubinafsi na uchoyo ya kufunga pm umeitoa wap
Jifariji hakuna namnaShunie shemeji yangu...
We trust each one..! Nothing bad can happen..
The same to sakayo, ananiamini pia..
So muwe na amani
hahahhhhMwambie mmewe anampenda !
Alafu nimegundua ndo nazidi kumpenda yakitokea haya...!
yupo kwenye uzi wakeInawezekana hayupo kabisa jf
Mimi sijawahi kumold mtu akawa mnafiki...Ohooooo!!!
Nilikua upande wako wa kukutetea kwa sakayo
Sasa naona unaleta ma snake snake ngoja niende upande wa lee
kalala kesho atakujaMtafute kwanza dada yako hebu..!
Sijamkuta home..