Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Wacha tu ukhuty kanikimbia
Ila haina noma mm ni sterling
Nitapata mwingine

Wacha tu ukhuty kanikimbia
Ila haina noma mm ni sterling
Nitapata mwingine

Hahaaa mm serekali ya burundi full mitutuHa hahahhaha, poa poa sterling, sema ukiongea naye tena ongeza mtama sio unakuja na habari za maharage
Nishakimbiwa shem ngoja nimsake yule wa nichane day.hahahhh ushakimbiwa tena
Ohooooo!!!
Nilikua upande wako wa kukutetea kwa sakayo
Sasa naona unaleta ma snake snake ngoja niende upande wa lee




Shunie shemeji yangu...
We trust each one..! Nothing bad can happen..
The same to sakayo, ananiamini pia..
So muwe na amani
Nataka nikupe tangazo la biasharapm kuna si apa tunaongea

Baanange ukhuty atakuja mida ya hamsha popoHahaaa mm serekali ya burundi full mitutu
Sikai bila patina ngoja nimsake.
Nishakimbiwa shem ngoja nimsake yule wa nichane day.
Niliwahi haribu ck hapahapa, thus y sitaki rudia kosaSanaaaa!
Do'nt try this!
khaaaa mm nilifanyaje tangazoNataka nikupe tangazo la biashara![]()
Uyu mondray anaongoza kupokea vibuti humuBaanange ukhuty atakuja mida ya hamsha popo
Kwa BluetoothHapa kwenye hii list nimeingiaje?
Mzee wa Ganja-weed upo?Inategemea na ubaya gani kuwa ubaya. Sio kila ubaya unasignify "ubaya". Na kuaminiana huku mipaka yake inaishia wapi, isije kuwa inashia kwenye tupu
Baanange ukhuty atakuja mida ya hamsha popo
Povu lote hilo ajili yangu??Mimi sijawahi kumold mtu akawa mnafiki...
Ukiwa manfiki its up to you ...! Unaaharibu nafsi yako na utu wako wewe mwenyewe..
Mwanaume makini anasimamia anachokiamini hata kama watu 1000 watampinga...
So simamia unachoamini...
Shunie mmeo yuko wapi
Ulimodifykhaaaa mm nilifanyaje tangazo
Nilifunga mimiNikimaliza ntakuambia na alafu iyo tabia yako mbaya ya ubinafsi na uchoyo ya kufunga pm umeitoa wap
Sasa watu wanataka nirudi kwa Clkey...Niliwahi haribu ck hapahapa, thus y sitaki rudia kosa
