Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mzèe mkavu uko poa ??Asante mkuu lee kwa magazeti
Ila usiquote magazeti mkuu
Mzèe mkavu uko poa ??Asante mkuu lee kwa magazeti
Kwema mkuuHabar za asubuhi makapukuz
Asubuhi yangu imeanza kwa kucheka...baada ya kuona hii hapa.Mkuu Shedede. Nilikuwa sijaingia huku kwa muda. Vipi ulifanikiwa kubeba ule "mzigo?"
Wewe huyoMimi tena
Salama! Kwema huko?Emmyta vip mamie
Mi mzima kabisa hofu kwako tuMmmhhh!
Mzima weye?
Morning lovely sisterMimi tena
Morning mkuuMorning family...
Morning mke wa vana vangu Sakayo..
Nishaingia mzigoni mama, niko nachanga dollari now...
Nitunzie huo moyo wangu..!
I am deadly in love with princess Sakayo![]()
So nice thank you Mkuu for this segment be blessedUnbelievable facts :
Sio mbaya kapuku tukaendelea kujuzana mambo muhimu kuongeza kitu kwa mkichwa
Ntajitahid kushare na nyinyi segment hii ya "unbelievable facts"
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thanks mama mchungajiSo nice thank you Mkuu for this segment be blessed
Yaaani nashukuru ngoja nimtafuteThanks mama mchungaji
Hope Baba mchungaji yu salama

Wapii sasa kwani hajalala nyumbani ??Yaaani nashukuru ngoja nimtafute![]()
![]()
![]()
![]()

MmmhhhWapii sasa kwani hajalala nyumbani ??
Na jana sijamuona kabisa
![]()
![]()
![]()
Mbona unaguna?Mmmhhh
SijamboMi mzima kabisa hofu kwako tu
Apo guuudSijambo