Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habari za leo makapuku wapendwa ,naamini mmeamka salama namwomba Mungu awasaidie katika kila jambo wagonjwa awaponye,wenye kuuguza Mungu awatetee,wafiwa Mungu awafariji,wenye changamoto mbalimbali Mungu aingilie kati,nawapenda sana sana naomba Mungu atupe amani na mafanikio....tuombeane heri na baraka tele,namuombea Shunie jamani amalize Ban.....nammiss sana.mbarikiwe.
mm pia mama mchungaji nilikumiss sana kingine nimefurahi umeweka avatar hapo lazima baba mchungaji akuje tu
 
cdd48439d19f738f522d350b3d20e4b0.jpg
50bf603cb891230854907bd4057fb6ac.jpg
ef24399d30485818877ff72b312c5b02.jpg
USA inaongoza kwa kupigwa mabomu maana ina kiherehere kwenye nchi za watu
...
Hahahaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom