Makapuku Forum

Makapuku Forum

1973 - Jan Koller anazaliwa.

Straika wa zamani wa Borussia Dortmund, Monaco na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.
16b41cb5c36da4668cbfd91aec0bdbea.jpg
50ada7d1a7a0685174b0a2e9cdde3d6a.jpg
da04002916bdbae77e1acd1a2e69df1e.jpg
c3b6a5ff8cf27965b5dd7ba5ec24c120.jpg
Kafanana na Jaap Stan ila mwili jumba km Zlatan
...
 
1968 - Celine Dion anazaliwa.

Mwanamuziki nguli na mahiri wa muziki laini kutoka nchini Canada.

Mama wa Watoto watatu ambaye ameachana na Mumewe mwaka jana 2016.

Baadhi ya vibao vyake ni I Love You, Immortality, Power of Love, think twice nk.

Kibao chake cha My heart will go on ndio nyimbo aliyouza zaidi katika historia yake ya kufanya muziki.

Kwangu mimi ni mmoja kati ya wanamuziki ninaowakubali sana.
Nampenda ,naupenda music wake sana
 
Habari za leo makapuku wapendwa ,naamini mmeamka salama namwomba Mungu awasaidie katika kila jambo wagonjwa awaponye,wenye kuuguza Mungu awatetee,wafiwa Mungu awafariji,wenye changamoto mbalimbali Mungu aingilie kati,nawapenda sana sana naomba Mungu atupe amani na mafanikio....tuombeane heri na baraka tele,namuombea Shunie jamani amalize Ban.....nammiss sana.mbarikiwe.
Amen
 
1986 - Sergio Ramos anazaliwa.

Beki na Nahodha wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Hispania.

Mmoja kati ya mabeki bora kabisa wa zama hizi, ana uwezo mkubwa wa kulinda, kusoma mchezo na hata kufunga pale inapobidi.

Amekuwa mchezaji muhimu wa kusawazisha au kuifungia timu yake magoli muhimu hasa dakika za lala salama.
e10dbb5c78d6a69ec35f219a2cd0afa7.jpg
1b6bca3c89530be126be31b98a3f0a11.jpg
11936c84ff9ab81487543aa37922fdcd.jpg
499b92257dbdfc999208e230fd73bcaa.jpg
jamaa anapiga vichwa hatari
....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom