BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Shunie karibu my dear ,pole kwa yote Mungu daima akupe uvumilivu wa kimapendo,nilikumis sana nimefurahi uko hapa tena ubarikiwe mummy
Juzi ulifunguka ! Hahahaaa!yupo busy alipo hakuna network atakuja lkn kuna mda nilimpigia simu haipatikan




Uwe unapita pita kutupa hata hi basiHahahaaa! Utawaweza hao
Ahaaaaaaah wewe na shedede sawaasante kwa magazeti baba watoto halaf si nimesahau nimequote magazeti
Hata mimi nililigundua hilo lakini ikawa too late. Sitarudia tena!Usiquote tena magazeti
Habari ya asubuhi
Afu jana wanawake wa humu mlikuwa wapi?hahahha nikiwepo mm hakuna kinachohalibika wanasema et unawakosesha usingizihivi ni nyagei na Snipes au mana mondray anao mababy zake
tuko poa mama wa hamsha popoMko poa wadau
asante diktekta halaf mbona swali langu hunijib kuhusu mbudya uliendaAsante pia, pole na kifungo!
Ndio kama hivi kaka nimekuja kidoogo halafu naishia. siwezi kuwatupa ndugu zangu.Uwe unapita pita kutupa hata hi basi
Sikwenda nafikiri pasaka hii ntakuwa hukoasante diktekta halaf mbona swali langu hunijib kuhusu mbudya ulienda
nashkuru sana mama mchungaji me pia nilikumiss sana baraka zako huwa zinanibariki sana sanaShunie karibu my dear ,pole kwa yote Mungu daima akupe uvumilivu wa kimapendo,nilikumis sana nimefurahi uko hapa tena ubarikiwe mummy

shemela tuifunge hiyo topic baba angu ila yalinifika mwishoJuzi ulifunguka ! Hahahaaa!
K€₩£₩€₩& wewe
K#&$¥#¥$¥ ya mama #₩$£$€#¥
Loooh![]()
Upendo udumu mileleHata mimi nililigundua hilo lakini ikawa too late. Sitarudia tena!
nilijua tuuuuAhaaaaaaah wewe na shedede sawa
Ndio BUMPS? Hatari ...Jamani mahari hapa ni pazri sana!!
![]()
musukuma za burundiHata mimi nililigundua hilo lakini ikawa too late. Sitarudia tena!
Karibu dearnashkuru sana mama mchungaji me pia nilikumiss sana baraka zako huwa zinanibariki sana sana![]()
Teh TehJamani mahari hapa ni pazri sana!!
![]()
jana mm niliingia mara moja na kutoka mana shemela niliona msisitizo kuwa sijui jukwaa la wakubwa kwanza sakayo kule hayupo kabisa wala hatak ata kupaskiaAfu jana wanawake wa humu mlikuwa wapi?
Sakayo
Mama mchungaji
Shunie
Ukhuty
Queen kan
Madame s
Paprika
Manake tulibaki wanaume tuu...!