Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ni bahati mbaya tuu, halafu si wewe ulimwambia asilale akusubiri auImekuwa kwakee
Ni bahati mbaya tuu, halafu si wewe ulimwambia asilale akusubiri auImekuwa kwakee
Ndo kusubiri uko kwa kuonesha unondo wa matusi??Ni bahati mbaya tuu, halafu si wewe ulimwambia asilale akusubiri au
BhinamuuuuuUmeshampata?
MmmmhNdo kusubiri uko kwa kuonesha unondo wa matusi??
Yangu bhadoo sasaMmmmh
Msamehe bhana
NgachokaaYangu bhadoo sasa
Aawwwwwwh!Siwezi tulia, kuna nini hukoo, kama waenda nenda ila ndo mwisho wa mapenzi yetu
Yule anakula bangi ya pakistan aiseeYule jamaa ni mpuuzi sana, alishanijibu mbovu sii mara moja. Ila nina tabia ya kumuignore tuu
I want to see! Na mimi si mkubwa?We unataka ukafanyeje huko labda
Hujaona tusi?Mkuu mbona sijaona matusi ya kumlisha mtu ban ??
Alikua anazenguana na HR 666
Au zimefutwa nimekosa connections naona analalamikaa tu
Baby achana nao kabisa...Yaani yule jamaa, basi tuu. Ni mropokaji mzuri, hata mie amewahi nirushia maneno wala sikumjibu, wako wawili manunga embe. Nyuzi zao sichangii nasoma tuu napita
Siwezi tulia, kuna nini hukoo, kama waenda nenda ila ndo mwisho wa mapenzi yetu

Baby ndo natoka sasa hivi...Mume wangu, ni Kwamba siku hizi huli au!!!?
Hata nikikualika mchana huji jioni ndo usiseme. Halafu usiku nkishalala we ndo unawasha data.
Karibu chakula love, still love you!!!
Unachepuka?Jamaniiii usinifanyie hivoo
Kule nilifika nikakutana na mitusi tuu...Ule uzi walikuwa wengi bhana, hata wewe shem ulikuwepo na mume wangu T usiku alinitoroka akaenda huko
Mondray yupo...sanaMmi nilienda na mondray nkatokaa
Baby nipe siku chache nipunguze hiz kazi...Hamna alinitoroka usiku, yaani huo ugomvi mie nilikuwa nshalala
Mambo yangu poa cjui yakoMamboo