Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaAchaneni na michambo, hiyo ni tabia za kizaramo
Ni uzi ulianzishwa bhana!! Ila mie sijamchamba mtuuu
HahahaAchaneni na michambo, hiyo ni tabia za kizaramo
NdioUwa shemu nikichepuka utanisema??
![]()
![]()
![]()
![]()
Sitakiiii uchochezi ujueMkuu ebu kidogo
Ina maana shunie ni mzaramo ??
Hapana lkn tabia ya michambano sio ya mtu aliyeelimikaMkuu ebu kidogo
Ina maana shunie ni mzaramo ??
Jamaniiii usinifanyie hivooNdio
Tena usijaribu, labda uje na id mpya
Hahaha una bahati/umeelimika wwHahaha
Ni uzi ulianzishwa bhana!! Ila mie sijamchamba mtuuu
Wala sio uchocheziiiiiSitakiiii uchochezi ujue
Hahaha una bahati/umeelimika wwHahaha
Ni uzi ulianzishwa bhana!! Ila mie sijamchamba mtuuu
Point mkuuHapana lkn tabia ya michambano sio ya mtu aliyeelimika
Hahaha una bahati/umeelimika wwHahaha
Ni uzi ulianzishwa bhana!! Ila mie sijamchamba mtuuu
Jaribu uoneJamaniiii usinifanyie hivoo
HahahaHahaha una bahati/umeelimika ww
Usiseme hivyo, hakuna kabila lenye tabia. Tabia ni ya mtuWala sio uchocheziiiii
Kama ni kweli nijue moja kuwa nimekosea njia make ata dulla makabila anawajua vzuri
Naendaaa MMUJaribu uone
Leo uneniamuliaaaUsiseme hivyo, hakuna kabila lenye tabia. Tabia ni ya mtu