Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Usijali sweet wangu.Baby nipe siku chache nipunguze hiz kazi...
Si unajua ndo zinatupa bundle la kuja huku
We piga kazi tuu
Usijali sweet wangu.Baby nipe siku chache nipunguze hiz kazi...
Si unajua ndo zinatupa bundle la kuja huku
Mie pia nakumiss mnoo jamani!!!Baby..
Nilikumiss balaa...
Kisses mwaah!
I love you...
Acha uchochezi mpenzi wangu!! Hao wanajuana kwa vilembaMwambie mindray akupe list ya matusi yote..atakupa..
Em nipe story babyEeeeh! Balaaaa!
HahahaUlishindwajee kumzuiaa
Au nikunyanganye sakayo ndo uelewee
Anaweza kukuacha kama ulivomuacha c
![]()
![]()
![]()
![]()
Usijali baby, mie nawaelewa sana wala hawaniumizi kichwaBaby achana nao kabisa...
Manake lee jana angekuwepo angetukana mtu na yeye pia..
Sasa mimi huwa sina huvumilivu pia
BabyI want to see! Na mimi si mkubwa?
HahahaYule anakula bangi ya pakistan aisee
Bado hajanisalimiaUmeshampata?
Wv jmnEm nipe story baby
Pga kz kijanaBaby ndo natoka sasa hivi...
Hii week nina project fulani matata sana..ila hadi week ijayo nitakuwa nimeimaliza so i will available
Sio mzaramo mm plsWala sio uchocheziiiii
Kama ni kweli nijue moja kuwa nimekosea njia make ata dulla makabila anawajua vzuri
JamaniiiiWv jmn
HuyoooooSio mzaramo mm pls
Vizurii mkuuuAhsante
Naendelea vizuri kabisa
Kipi kilikufanya jana uoneshe ubabe wa matusi kwa wenzio ??Sio mzaramo mm pls
nimezaliwa upya ata unipige kibao nitakugeuzia upande wa pili ila yule chizi jana yalinifika mwisho nawapenda sana badaeKipi kilikufanya jana uoneshe ubabe wa matusi kwa wenzio ??
Huyooooo
Amerejeaaaa