Makapuku Forum

Makapuku Forum

hahahhh niambie jibu gan
Ikifika saa 8 za usiku hivi huwa mnakuwa off-line jf

Mkishakuwa off-line mnapigiana simu..!

Dak 1-3 ni salamu na stori za mchana ulikuwa vipi..

Dak 4-5 jf palikuwa vipi mchana

Dak 5 - Lee anaaza kuongea sauti ya base na ya kubana..

Dak 6- Shunie anaaza kuongea kwa sauti ya kibondei ( mtoto wa kitanga huyo ujue lakini )

Dak 7-8 ; mnaanza kunong'onezana kwa sauti za kubana...

Dak 9-10 ; dirty talk inaaanza hapa..

Dak 11 - 2 Hr - mko kwenye ndoto

Sasa kwanini mashuka yasifuliwe asubuhi..

naamini mko vizuri makapuku

CMJoALjWwAAYtMj.jpg
pale unapogundua lee hayupo afu Shunie ana hamu ya kukesha
 
Ikifika saa 8 za usiku hivi huwa mnakuwa off-line jf

Mkishakuwa off-line mnapigiana simu..!

Dak 1-3 ni salamu na stori za mchana ulikuwa vipi..

Dak 4-5 jf palikuwa vipi mchana

Dak 5 - Lee anaaza kuongea sauti ya base na ya kubana..

Dak 6- Shunie anaaza kuongea kwa sauti ya kibondi ( mtoto wa kitanga huyo ujue lakini )

Dak 7-8 ; mnaanza kunong'onezana kwa sauti za kubana...

Dak 9-10 ; dirt talk inaaanza hapa..

Dak 11 - 2 Hr - mko kwenye ndotoni

Sasa kwanini mashuka yasifuliwe asubuhi..

shemela umekua nabii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom