Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ikifika saa 8 za usiku hivi huwa mnakuwa off-line jf

Mkishakuwa off-line mnapigiana simu..!

Dak 1-3 ni salamu na stori za mchana ulikuwa vipi..

Dak 4-5 jf palikuwa vipi mchana


Dak 5 - Lee anaaza kuongea sauti ya base na ya kubana..

Dak 6- Shunie anaaza kuongea kwa sauti ya kibondei ( mtoto wa kitanga huyo ujue lakini )


Dak 7-8 ; mnaanza kunong'onezana kwa sauti za kubana...


Dak 9-10 ; dirty talk inaaanza hapa..

Dak 11 - 2 Hr - mko kwenye ndoto


Sasa kwanini mashuka yasifuliwe asubuhi..


Mbavu zinauma sana
 
5224665f3256ccae01e93dfcdedb85a5.jpg

fe2702e95858664bacfcfd5b1e472ef2.jpg

9663638a6c2ccedc4fc8ae13d6f2dc63.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom