Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Ila huu ugomvi wa ndugu ngoja nikae mbali kwanza kidgo..!Sio rahisi
Fresh mkuu!kuna mtu nimesikia ana hamu ya kukesha hapa....!!
habari gani wakuu
Anataka kuchepukaIla huu ugomvi wa ndugu ngoja nikae mbali kwanza kidgo..!
Just missing youOooooops!
Whats wrong my dear?
Mzima honeySweetie Ukhuty
Mzima wewe
NiambieUKHUTY
Beiby unajua jinsi ninavyokupenda eehMzima honey
Looh na kuja kukupulizia eeeNimejaribu kutamka hilo jina nimejiuma..
Loooh bas sikuachii upweke ten my nangojea giza likazane ndo nije huku loveBeiby unajua jinsi ninavyokupenda eeh
Kwanini ulinitenga mwenzio nabaki mpweke
Haya nakusubiri bibieLoooh bas sikuachii upweke ten my nangojea giza likazane ndo nije huku love
Love you mnoooooHaya nakusubiri bibie
Jue huku Mondray is going mad over you
Love you sana

Nimekumiss sana pia utamu wangu...!Just missing you
Kiukweli umenibalmba UkhutyLove you mnooooo![]()
Vaa kile kigauni chako cha kichokozi leo basi...Just missing you
Ulisha uhonja huo utamu 😀😀😀😀😀Nimekumiss sana pia utamu wangu...!
Jamaniiii hubbyNimekumiss sana pia utamu wangu...!
Na huwa sin ratib ya kutoa watu ukiingia umeingiaaKiukweli umenibalmba Ukhuty
Sina unanja tena.
Ukinipa nafasi sitatoka kwako