Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Kivae basi jamaani...tena kile cheupeeeeee..Jamaniiii hubby
Kivae basi jamaani...tena kile cheupeeeeee..Jamaniiii hubby
Wewe ni kama mmasai, ukisikia mvua zinanyesha Moro unaenda, ukisikia Koromije kuna nyasi nzuri unafunga safari, anyway napita, good luck buddy



binamu
hahahhahaUnamaanisha nini maana kama bile ni mafumbo
miss u soudyLeo nawasalimia kwa kifrench
A propos de vous
hahahah hivi ujue mashuka yanachafuka kweli lee sio mtu mzuri kabisaMambo yako na lee...akusaidia na kufua basi...sio kukujia ndotoni tuu
Mwimbie banahNampenda ukweli huyo ndugu yako.
Natamani nimwimbie wimbo wa motra ft G nako
Aaaaaawh!Mbona ndo nimekivaa honey
Mkuu kwa mashaliti hayo nimeshakuwa mwachama tayr.... Ila kukanya demu watu itakuwa bahati mbaya japo akijilengesha sipigi woni!!!Masharti ni public sana no matusi full love ila usimkanyage demu wa mwenzio utapigwa bure,
Comment na kulike maisha yanaenda ukipata mwenza mlete huku tumpe usajili wa kudumu
Karibu mkuu..![]()
Maji ni uhai
Nammiss Tunaumwa nn Dada
Mnachafua mkiwa ndotoni ama laivu bila chenga?hahahah hivi ujue mashuka yanachafuka kweli lee sio mtu mzuri kabisa
Kule kwa wakubwa mdogo wanguDada hivi naanzaje mm
Nimevaa hubbyKivae basi jamaani...tena kile cheupeeeeee..
Aaaaaawh!
Ngoja niwashe dim lights afu niweke huu wimbo..
Safi kabisa nakukaribisha kwenye chama changuMkuu kwa mashaliti hayo nimeshakuwa mwachama tayr.... Ila kukanya demu watu itakuwa bahati mbaya japo akijilengesha sipigi woni!!!
si yupo hapa dada mnachat auNammiss T
Sina koloni koloni aaah wacha niishie hapo maana muhusika hayupoMwimbie banah