Wakuu hope nyote mnaendelea vizuri ,nimewamisi kiukweli ila soon tutakuwa wote nimebahatisha mtandao kidogo hapa ikakubali kuwasha E
My baby Shunie najua u always on my back but nakumis kiukweli ule ukorofi wako na 'kupanic'
Ila nina mashaka na kamati yangu kama wanafanya kazi
Niulizee jamani Baba mchungaji ashajulikana officially make post zote nimeskip japo inanipa wasiwas kwa wabaya wangu kwa shunie
Mr T and sakayo nawamis
Kisheti ,pimbi,mwekagazina na mzee mkavu souudy vip mshapata wenzenu au mnasumbua wake za watu
nina dk 15