Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
Amina kubwaaMuwe na jumapili njema yenye baraka tele makapuku, Mungu aonekane kwenu na akajibu maombi yenu ,awape haja ya mioyo yenu siku njema
Amina kubwaaMuwe na jumapili njema yenye baraka tele makapuku, Mungu aonekane kwenu na akajibu maombi yenu ,awape haja ya mioyo yenu siku njema
AswaaaaaUsiwapangie cha kupost
Hakuna mada zinazoanzishwa sasa waongee kuhusu Bashite nini?
Humu kila mtu yupo huru tusileteane Umagufuli
Ukiona kitu hukipendi anzisha mada yako ubadili upepo
Hapa ni chit chat tusipangiane cha kupost
Anzisha mada unayoona inafaa badala ya kulalamika tu
...........
hahahhh mtafute tu ulete na mrejesho![]()


mrejesho usipofungua pm yako basi sina namna utaupata huko upande wa pili
For sure
HahahahUkurasa wa pili:
*Chato yaipiku Dar kwa maendeleo
*Licha ya ukame Tz yaanzisha kiwanda cha maziwa
*JPM azindua ufugaji wa sisimizi
*Bashite afaulu STD 7 achaguliwa Ilboru
*Bowing 29 zatua Chato International Airport kila siku
![]()
![]()
![]()
![]()
........
1984 - Ahmed Sekou Toure anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa Kwanza wa Guinea.
Hospitali ya Mkoa wa Mwanza imepewa jina lake katika kumuenzi.
TunaskukuruLeo katika Historia:
Sina la ziada niwatakie siku njema.
Asante bitoz kwa mapicha picha![]()
![]()
Alitikida enzi zake![]()
.....
1995 - Rapa Easy E anafariki Dunia.
Alikuwa mwanamuziki wa Hiphop kutoka kundi la N.W.A
Katika kundi hilo pia walikuwepo akina Ice Cube na Dr. DRE.
Pa1shukrani Mussolin na kwako pia asante pia Bitoz kwa picha mbarikiwe
Diana mzuri
Kushinda nyieAlikua mzuurii
Full maigizonaona wameamua kuweka front page ili kumridhisha sizonje
Basi ndio maana Pep kamchukua amsaidie Man Shity![]()
![]()
Ni zao la Barca![]()
....
safi sana hivi soudy ulimaanisha nn kuna comment zako sijaelewa sijui uliniitaje jamaanAsubuhi inakwendaje kapukuz
mm sio mpnz wa makepu yaan mara moja kwa mwaka na siku nikiamua kupaka acha tuSisi wazuri ila hatujiamini mpaka tupake mekapu![]()
hahhaah mzuri mpe sifa yakeKushinda nyie
![]()
![]()
![]()
.....
Tuko pamoja bablaiTunaskukuru
Mimi uso wangu hauijui hata lotion wala powder toka nipate ufahamumm sio mpnz wa makepu yaan mara moja kwa mwaka na siku nikiamua kupaka acha tu