Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mnazungumzia sana mapenz humu daah hadi mnaboa wengine hayapandi hayo mambo
Usiwapangie cha kupost
Hakuna mada zinazoanzishwa sasa waongee kuhusu Bashite nini?
Humu kila mtu yupo huru tusileteane Umagufuli

Ukiona kitu hukipendi anzisha mada yako ubadili upepo
Hapa ni chit chat tusipangiane cha kupost
Anzisha mada unayoona inafaa badala ya kulalamika tu
...........
 
5b3e16d406313911b082068c033cd3ec.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom