Ibrahim Msuya
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 572
- 1,264
Hey huku mko pouwa huku
safi sana malkiaMimi uso wangu hauijui hata lotion wala powder toka nipate ufahamu
Ila napenda tu kuona wengine wakipata, i just fell in love with simplicity
Ila nahisi urembo ni sanaa...maana sio kila mtu anaweza! Pia ni kitu kiko moyonisafi sana malkia
Kweli kabisa mm mambo ya kujipodoa mara moja kwa mwaka rafiki zangu wanabaki wanashangaa tu kila mtu na mazoea yakeIla nahisi urembo ni sanaa...maana sio kila mtu anaweza! Pia ni kitu kiko moyoni
Yani ww uko kama mimi, rafiki zangu washagive up kuhusu urembo kwangu...mama angu ndo mpaka tunagombana ila mimi ndo vile tena hata kustuka sishtukiKweli kabisa mm mambo ya kujipodoa mara moja kwa mwaka rafiki zangu wanabaki wanashangaa tu kila mtu na mazoea yake
kila kitu n kipaji ujue acha waendelee na kipaji chao cha kujirembaYani ww uko kama mimi, rafiki zangu washagive up kuhusu urembo kwangu...mama angu ndo mpaka tunagombana ila mimi ndo vile tena hata kustuka sishtuki

Mtu unakuta anajiremba wee maisha yake yoote ila hata kutolewa posa hajawahikila kitu n kipaji ujue acha waendelee na kipaji chao cha kujiremba![]()



soonMtu unakuta anajiremba wee maisha yake yoote ila hata kutolewa posa hajawahi
Siku [HASHTAG]#nikiolewa[/HASHTAG] ntajipodoa buanaa
Mtu unakuta anajiremba wee maisha yake yoote ila hata kutolewa posa hajawahi
Siku nikiolewa ntajipodoa buanaa



Nilikuitaje kwan shemela wangysafi sana hivi soudy ulimaanisha nn kuna comment zako sijaelewa sijui uliniitaje jamaan
mm sio mpnz wa makepu yaan mara moja kwa mwaka na siku nikiamua kupaka acha tu

Kama kawaaaHey huku mko pouwa huku
Ni kweli ata uhandsome ni sanaa kama kipaji hiviIla nahisi urembo ni sanaa...maana sio kila mtu anaweza! Pia ni kitu kiko moyoni

Iyo avatar yako ni wew ?Kweli kabisa mm mambo ya kujipodoa mara moja kwa mwaka rafiki zangu wanabaki wanashangaa tu kila mtu na mazoea yake
Huko sikoNi kweli ata uhandsome ni sanaa kama kipaji hivi![]()
![]()
![]()
Nimefanya investigation nimebain hiloHuko siko
Na ww ni handsomeNimefanya investigation nimebain hilo
sikumbuki msg zako za jana usikuNilikuitaje kwan shemela wangy
kumbeeeNi kweli ata uhandsome ni sanaa kama kipaji hivi![]()
![]()
![]()