Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mfano mimi sizungumzi sana humu kuhusu mapenzi lakini haiwezi kuwa sababu ya kuwazingua wanaozungumza sana kuhusu mapenzi bali huwa nakaa tu pembeni km sijapna swaga iliyonivutia

Anyway yameisha
.......
Ni kweli na bado tunajali michango yako...nadhani labda anafeel inferior kwakua kashindwa kuendana na mazingira!! Nadhani atakua ameelewa
 
Shikamoo Kipanya...
Ukurasa wa pili:
*Chato yaipiku Dar kwa maendeleo
*Licha ya ukame Tz yaanzisha kiwanda cha maziwa
*JPM azindua ufugaji wa sisimizi
*Bashite afaulu STD 7 achaguliwa Ilboru
*Bowing 29 zatua Chato International Airport kila siku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
 
Labda Chato ya Pluto
 
Usiwapangie cha kupost
Hakuna mada zinazoanzishwa sasa waongee kuhusu Bashite nini?
Humu kila mtu yupo huru tusileteane Umagufuli

Ukiona kitu hukipendi anzisha mada yako ubadili upepo
Hapa ni chit chat tusipangiane cha kupost
Anzisha mada unayoona inafaa badala ya kulalamika tu
...........
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
halaf mapenzi ndio yana run dunia ajue [emoji23]
 
1979 - Anwar Sadat wa Misri, Menachem Begin wa Israel na Richard Nixon wa Marekani wanasaini mkataba wa amani kati ya Misri na Israel huko Camp David ( Sehemu ya Mapumziko ya Rais wa Marekani ).

Mkataba huo utakuja kugharimu maisha Anwar Sadat kwani alikuja kuuwawa kwa kushirikiana kwake na Israel.
 
bda836efe8562f967066f278f42aa542.jpg
aliona mbali
 
1982 - Vietnam Veterans Memorial yafanyika huko Jijini Washington kuwakumbuka wanajeshi wa Marekani waliopoteza maisha katika vita ya Vietnam.

Pia waliwakumbuka wale ambao walipotea katika Uwanja wa Kivita, aidha kwa kushikiliwa mateka au kufariki pasipo kujulikana. ( Missing In Action )
 
Back
Top Bottom