Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Hujaelewa somo[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kufanya kazi kwa bidii (kufagia) hakujaleta mafanikio aliyonayo sasa alichofanya huyo jamaa ni kuacha kazi hiyo na kujikita kwenye kazi nyingine ambako kuna hela
Angeendelea tu kufagia leo hii asingekuwa tajiri
........