Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,097
Obe ww sio wa kumsikiliza lee nakwambiaHapa inabidi kukaa kama kamati sasa, tukutane palepale kontena pub tuandae hadidu za rejea huku tukiburudika na show ya mc chakumaster
1964 - Rene Meulesteen anazaliwa.
Kocha wa msaidizi wa zamani wa Man Utd chino ya Sir Alex Ferguson.
Kuku mgeni huyoUnataja jina!
Ohoo unatafuta maadui wew na watakuwahi tu
NamponzajeeeUnawajua wachina??? We mponze mwenzio
How lovelyMm ni wako tuu
PoleeRoho ina lkn wivu....sina
Asante dear, nimemalizaWala usiofu dear utanikuta na mashemeji zako
Ila vingine ntakusaidiaa usichokee
Popote nilipo hao wanaosema eti nisipokuwepo sio wako waongoHow lovely
Sio sanaa...navimuduDear haujachoka na vikazi??
Sio sanaa...navimuduDear haujachoka na vikazi??
1966 - Humberto Gonzalez anazaliwa.
Bondia wa zamani wa uzito wa juu kutoka Mexico.
UnajuaaNamponzajeee
Nakuskiliza wewe tu, ndo nilivyofundishwa nisiskilize ya watuPopote nilipo hao wanaosema eti nisipokuwepo sio wako waongo
Asante dear, nimemaliza
1976 - Vladmir Klitschko anazaliwa.
Ni Bondia wa zamani wa uzito wa juu aliyeshikilia mikanda ya IBF, WBA, WBO na kishinda medali kadhaa za dhahabu za Olimpiki.
Anatajwa kama mmoja wa Mabondia bora wa wakati wote kwenye uzito wa juu.
AsanteePolee Sana dear
Nakuskiliza wewe tu, ndo nilivyofundishwa nisiskilize ya watu