Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
1986 - Kyle Lowry anazaliwa.
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Toronto Raptors inayoshiliki Ligi ya NBA.
Ameshinda medali ya dhahabu ya Olimpiki ya Rio De Janeiro mwaka 2016 akiwa na timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Marekani maarufu kama Dream Team.