bongo man
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,054
- 2,375
Ndiyo hiyo namba yangu but nimeitoa si kwa ubaya.Uzuri namba ushaitoaa
Ndiyo hiyo namba yangu but nimeitoa si kwa ubaya.Uzuri namba ushaitoaa
Haina shaka mkuu tupo pamoja kijana.naomba nikuite bibi bomba mkuu
Sawa mkuuNdiyo hiyo namba yangu but nimeitoa si kwa ubaya.
hahaha mkuu uchaguzi utaanza upya hukuWakuu niliwatembelea kidogo make Siku nyingi
Badi tuko wote wakuu
Nitunzie Queen wangu ....baby take care soon ntarejea
Ntawamis all kapuku kwa mda
Mama mchungaj anakuhitaji ww ulikua waphahaha mkuu uchaguzi utaanza upya huku
nahisi ukirudi queen atakua si wako tenaWakuu niliwatembelea kidogo make Siku nyingi
Badi tuko wote wakuu
Nitunzie Queen wangu ....baby take care soon ntarejea
Ntawamis all kapuku kwa mda
Naam QUIGLEYHello Nyagei
Salama mkuu, vipi kwa upande wako?Habari za siku
Ilaaa weweeenahisi ukirudi queen atakua si wako tena
mimi apa si unaona malkia anavyogombewa akirudi aanze kuomba upyaIlaaa weweee
S nakupenda bureeUwe unauliza swali linalojitosheleza.
Hilo halitokaa litokee kabisaa. Hakuna mwanamke anaependa kushare mume hata siku moja.
Na hao a mbao ni dini inaruhusu anakubali tu sababu ni sheria, lakini sio Swala la upendo.
T Nakupenda mie!!!
Ushapata mke ?Shemela unauhakika miaka unayoiona kwenye profile za watu ni halisi![]()
![]()
![]()
nitamchek akiwa onMama mchungaj anakuhitaji ww ulikua wap
AsanteS nakupenda buree