Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ndio mkuuAliumwa!!!!
Ndio mkuuAliumwa!!!!
Ongezaaa familiaaAtaletwa apa soon familia iwe kubwa
Kwan sh ngapiLabda akakinywee central
Pole yakeNdio mkuu
Kweliìi kabisa BhinamuuHapa inabidi kukaa kama kamati sasa, tukutane palepale kontena pub tuandae hadidu za rejea huku tukiburudika na show ya mc chakumaster
AsanteePole yake
Cc shunie
Ubarikiwenimepita kuwasalimia mara moja mm kidogo namshkuru Mungu naendelea vizuri nawapenda sana ila nampenda zaidi lee wangu na bila kumsahau dada sakayo
Nashkuru kwa maombi yenu![]()
Unataja jina!Naenda kutafuta
Dem wangu
Niongeze familia
Mi sinajikubali swaggz zangu wacha niwahi
Nime mtag misstrace
Lazima nimpate huyu dem
![]()
![]()
![]()
![]()
Mm ni wako tuuHata akiruhusiwa atarudi
Roho ina lkn wivu....sinaMm ni wako tuu
Kweli mkuu ila huna jinsi mniachie malkia wanguRoho ina lkn wivu....sina
Ata kama wa maelfuHuyu liv ni wangapi kwako!
![]()
Ntakuja kumsalimiaKweli mkuu ila huna jinsi mniachie malkia wangu
Sawa mkuu karibuNtakuja kumsalimia
Wala usiofu dear utanikuta na mashemeji zakoJamani baadae kidogo...ntawamisimo
Livi nakuja wangu kuna vijikazi namalizia