manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Mda sana sijakuona upo salama lakini?Nipo shemeji
Mda sana sijakuona upo salama lakini?Nipo shemeji
Hahaha,shemeji huyu ndugu yako hawezi kuniacha hizi skills ni balaa.Shemeji kumbe unajua kubembeleza namna hii bila shaka shemeji amekuelewa sana Nahrene

Mkuu tuonane sebuleni peter msechu akusubiriShemeji upo?
Ni wewe tu shemeji unaye stahili hayo, maana naona mwenyewe umefurahi sana....Like Oh My Gosh youngblood ananipenda mno..Atambembeleza nani tena kama sio mimi??![]()
![]()
![]()
Mi mzima kabisa. Dada yangu unamtunza vizuri???Mda sana sijakuona upo salama lakini?

Mtumish upo ndugu yangu...Nimekusoma sana..Mkuu tuonane sebuleni peter msechu akusubiri
Ni wewe tu shemeji unaye stahili hayo, maana naona mwenyewe umefurahi sana....Like Oh My Gosh youngblood ananipenda mno..
Zaidi ya hapo sasa
Haya maneno matamu, lait ingekuwa kweli ooohNi wewe tu shemeji unaye stahili hayo, maana naona mwenyewe umefurahi sana....Like Oh My Gosh youngblood ananipenda mno..
Yaan dada ako yuko vizur mno na ishara kuwa yupo vizur ni ninaona anaongeza uzito na uzuri kila kukicha...Mi mzima kabisa. Dada yangu unamtunza vizuri???![]()
![]()
Shem umerudi kwa kasi ya halotel, karibu sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Zaidi ya hapo sasa
Nimefurahi kusikia hivyo honey.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Zaidi ya hapo sasa
Mtumish maneno haya ni kwake mwenyewe shemeji yetu Nahrene kwa youngbloodHaya maneno matamu, lait ingekuwa kweli oooh
Asante sana. Sweetheart wangu alikuwa mpwekeShem umerudi kwa kasi ya halotel, karibu sana
Mkuu naona unalike sana post za baby wangu,taratibu tafadhali.Shem umerudi kwa kasi ya halotel, karibu sana
Hatimaye unafurahi sasa eeNimefurahi kusikia hivyo honey.
Hapo kwenye uzuri sawa lakini asiongeze uzito sanaYaan dada ako yuko vizur mno na ishara kuwa yupo vizur ni ninaona anaongeza uzito na uzuri kila kukicha...
Lazima ni like sana alipopotea ulilalamika sana ili bidi nifanye maombi arerjee, kwann nisilikeMkuu naona unalike sana post za baby wangu,taratibu tafadhali.
Yani wewe acha mkuu,kupendwa raha sana.Hatimaye unafurahi sasa ee
Nakuona shem una raha mno kiasi kwamba hata mtu akija kukopa ela yaani chap umechana wallet..Hahaha,shemeji huyu ndugu yako hawezi kuniacha hizi skills ni balaa.![]()
![]()
![]()