Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,097
MmmmmhMavi ya kale hayanuki
Ila hujajua tu ndoa kongwe ni ipi
Shedede kakimbiliaa mmu kuletaa shemejiHuna lolote lee mm jakuambia
Ngoja aje utajuutaOnyo gani na wewe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Udumu katika uaminifu mkuuBasi mtulie...
Kama ukiniona na mtu mtag aje hapa kijiweni ...
Najivunia kutocheat mwanamke mimi mkuu...(This is real abt me)
Nampendaaaa sanaaNgoja aje utajuuta
Mimi siangalii ukongwe wala uchanga!Nimekosea mkuu ???
Ila yangu inazidi yako ukongwee japo mnakuja kwa kasi
Hahaaaaa huku madada hakunaShedede kakimbiliaa mmu kuletaa shemeji
Lee anajua kuchochea! Ila kisahani kikimgeukia utaona ana log off..Ndo walivyo hao....afu lee muogaangoja aje shunie nimsemelee maana alishapewa onyo
jamani mnaweka matabaka....BTW: sie yetu yatuendea
Utakula bani kulee..Hataki familia....tutakua tunafanyia mahaba yetu siasani sasa
Ninyi endeeleni kupanga tuuBest couples Kapuku.
Mondray & Paprika
Nyagei & Emmyta
Liv & QK
RayvanBoy & Clkey
Transcend & Sakayo.
Halaf ww ndio unashika mkia sina haja ya kuiandika


Nimekusomaaa mkuuu tena vizur sanaMimi siangalii ukongwe wala uchanga!
The only thing i know is that i love my woman..
Hayo mengine namwachia kaisari..
Morning mkuu Transcend ubarikiweMorning family..
Morning my love S
Mama mchungaji hivi baba mchungaji ni nani?Nawapongeza sana sana tunajipanga mkuu
Morning my love T!!!Morning family..
Morning my love S
Mkuu shunie ashatulia kwanguLee anajua kuchochea! Ila kisahani kikimgeukia utaona ana log off..