Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
Nakumbuka namba yangu kwako ni ya 408[emoji23][emoji23][emoji23]obe obe obe unatumia kijiti siku hizi ee
Nakumbuka namba yangu kwako ni ya 408[emoji23][emoji23][emoji23]obe obe obe unatumia kijiti siku hizi ee
LovelyQween=queen!
Kweli tena....kwan sijipend had niweke picha yanguSiamini ujue
[emoji106]Lovely
Sikua serious banaaNakumbuka namba yangu kwako ni ya 408
Daah!!!Mjomba nidai kiroba 😀
Labda akakinywee centralMjomba nidai kiroba 😀
Acha wogaKweli tena....kwan sijipend had niweke picha yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sikua serious banaa
Najua hilo but nilitaka tu kukuonyesha madhara ya utani mwingineSikua serious banaa
Ichoo lazimaaaaMjomba nidai kiroba 😀
Naunga mkono hojaa...kama aliwahi kulala basi kiporo alikipasha mapema eeh?
Ichoo lazimaaaa
Mtoto unamuonaaaaa???
Kaumbikaaaa
Uko byeeeMorning kijana
Kakumis[emoji23][emoji23]obe umekuaje siku hizi
Zaidii ya agapeeUpendo wa agape?