Utafanya mbwembwe zote ila hutopata kitu ??Sitakuwa hewani kwa masaa kama sita hivi. Shunie akiamka jamani mnisalimie. She is always in my mind. Ngoja Lee atambe mpaka nitakaporudi.
Sikujua kama kufika Bujumbura ni kazi namna hii. Yaani hakuna direct flight. Hii imekaaje hii? Ningejua ni afadhali hata kama ningeshukia Bukoba au Koromije halafu nikanyage petroli. ShunieI am pissed. Pray for me baby. Nitakusemesha jioni...
Ila mambo kwa malkia yako mkidemkidee
Yaan Siku moja ushatuletea shemejì
Nakuona nakuonaa unavolamba mitama
Mkuu sio miezi ni miaka anangang'ania mke wa mtu sijui anajitakia nn bwana mzee mkavuushimba ana miezi miwili humu bado anahahaha mi jana tu Najiona najiona
Morning mama mchungajiYou are welcome
UbarikiweWadau nitawamis sana masaa takribani tisa sitakuwa hewani nitakuja kuwacheki mda kama wa jana
Makapuku live forever
Bado unaendelea au unataka Leo nikutoe Busha la usohuyu jamaa lee empire jana tumetaka kufikishana kubaya sababu ya shunie jamaa aling'aka
Mkuu sio miezi ni miaka anangang'ania mke wa mtu sijui anajitakia nn bwana mzee mkavuu
Ila nawe unatisha sema malkia nawaona nawaonaaa
Mkuu acha kukurupukami mwenyewe nimempola bwana blessed aiiiseeh nilijivika ngozi ya simba we unafikir bila kuwa ngangali utatoboa mathalani jana alitupa mpaka
Comption nikaonekana kidume
Wacha malkia wangu aje approve kwa hili
Bado unaendelea au unataka Leo nikutoe Busha la uso
Safari nyingine ntafanya hivyo. Usalama wa barabara ukoje? Hao intarahamwe hawako huko mabarabarani?Utafanya mbwembwe zote ila hutopata kitu ??
Anyway ...ungepitia Ng'ara ingekuwa simple sana within 5 hrs unakuwa ushatimba
Hujipendiiinilikuwa nampa mstakabathi shimba
Mungu yu mwema katuamsha salamaHumu mmeamukaje mko poa ?
Barabara now iko safe na nzuri hao intarahamwe hawana mashiko unafika bila shidaSafari nyingine ntafanya hivyo. Usalama wa barabara ukoje? Hao intarahamwe hawako huko mabarabarani?
Asante god is good...Mungu yu mwema katuamsha salama
God is goodAsante god is god...
Miaka ya wapi na wewe? Sema tu nilishaacha michezo ya kitoto. Enzi zile sina breki saa hizi tungekuwa tunaongea mengine. Makapuku lakini raha sana. Yaani kule kwenye siasa kidogo tu mtu ushatukanwa. Mpaka juzi hapa nikapigwa ban mbili. Sasa hivi napaogopa kama ukoma. Nitapachungulia huko ishu ya Bashi.te ikitulia.Mkuu sio miezi ni miaka anangang'ania mke wa mtu sijui anajitakia nn bwana mzee mkavuu
Ila nawe unatisha sema malkia nawaona nawaonaaa
Mungu yu mwemq tupo salama pole unaendeleaje Mungu akuponye uwe na siku njemq ubarikiweMmeamkaje humu ndani jamani, ni asubuhi nyingine tena iliyo njema tuliyopewa na Bwana.
Naamini wote mko salama!! Niwatakie tuu kila lenye kheri siku ya leo!!!
T na wewe uwe na asubuhi njema mume wangu!!!
Najua roho unaumwa ila utafanyaje mrembo ndo kashatulia kwanguMiaka ya wapi na wewe? Sema tu nilishaacha michezo ya kitoto. Enzi zile sina breki saa hizi tungekuwa tunaongea mengine. Makapuku lakini raha sana. Yaani kule kwenye siasa kidogo tu mtu ushatukanwa. Mpaka juzi hapa nikapigwa ban mbili. Sasa hivi napaogopa kama ukoma. Nitapachungulia huko ishu ya Bashi.te ikitulia.
Asante Lee na Shunie kwa burudani tosha na ushirikiano wenu. Tuendeleeni kula huo ugali kwa pamoja...