Makapuku Forum

Na wewe mkuu unamtaka shunie


Walaii waulize waliotanguliaa ....utapotea kama waliojaribu
Zipo mtu kama tatu hivi zote zimekaza macho kwa Shunie
. Mchuano ni mkali ila naamini mi ndo nitaibuka kidedea. Nia ninayo, sababu ninayo na uwezo ninao (maneno ya mwl. Nyerere haya alipokuwa akimchimba mkwara Idd Amin). Tuwemoooo!!!
 
Sitakuwa hewani kwa masaa kama sita hivi. Shunie akiamka jamani mnisalimie. She is always in my mind. Ngoja Lee atambe mpaka nitakaporudi.

Sikujua kama kufika Bujumbura ni kazi namna hii. Yaani hakuna direct flight. Hii imekaaje hii? Ningejua ni afadhali hata kama ningeshukia Bukoba au Koromije halafu nikanyage petroli. Shunie
I am pissed. Pray for me baby. Nitakusemesha jioni. Let me go face the world!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…