Shem wacha na mimi niseme Amen kwa maombi hayo mliokuwa nayo na baba mtumish jambilo ila tahadhar usimtaje taje huyo mtu mshana jr maana nasikia anauwezo wa kukuchukua usiku kutoka kwenye mikono ya mtumishi akakupeleka kwake mkaimba na kusifu saaaaana na asubuhi akakurudisha kwa mtumishi ukiwa hoi na nadhan itabid iwe siri yako tu na wewe mtumish hutowesha mwambia..
Post za jichawi zinanitishaga kweli,nahisi ni expert wa hizo mambo,lakini pia haniwezi mama Mtumishi,jambilo wangu kanigawia karama ya kufunga nguvu za giza. Aje aone😉