Jamaa ana wivu balaa! Yaani ukitaja tu Shunie basi hata kama alikuwa amepotea mwezi huku Makapuku utamuona huyu anahema. Ananiudhiiii mpaka basi. Subiri kesho akiamka patachimbika balaa!
hutaki nn tenaHahahahaha.. sitaki
amechoka siwezi muamshaHata kama angekuwa macho tungempa za uso tu. Mwamshe kama ana ubavu.
Bado naangalia pambanoKwann
ndio umuwahi huoni mpo wengi hapo mnaemtakaBasi karibu tena. Usingeondoka pengine wengine tusingeangukia huku kwenye mateso, suluba na ukatili wa akina Shunie. Hata hivyo kila jambo hupangwa ati!
Kweli mkesha nauonaTunakesha leo
AyaBado naangalia pambano
huu mkesha kiboko atakaechoka ataondoka bila kuagaKweli mkesha nauona
Itakubidi unifungulie japo mara moja tu niingie...That's all...ila mwanzo kabla sijfunga unakumbuka ulikua unakuja ulikua una busara mwenyewe
Sasa hivi toka nimefunga funguo anazo lee sbbu nashare nae password
nawe pia ulale salama kumbatia mto wakoJamani usiku mwema sana wanakapuku
Nimeinjoi vyakutosha kesho nayo siku
good night
Hahahaha, ingia moyoni mwangu ujionee mwenyewemmh kuhusu nn ujue sikuelewi eb kuwa muwazi
Msukuma ni gentleman na hana mikwara yo yote. Atakayemnyakua hatajuta!!!hahahh umerudishwa tena jitahidi msukuma asikuwahi si unaona mikwara yake
sasa hivi siwezi lee anaona kila kinachoendelea pmItakubidi unifungulie japo mara moja tu niingie...That's all...
Busara bado ninazo tena sana sema tu nimechanganyikiwa...
Nawe piaJamani usiku mwema sana wanakapuku
Nimeinjoi vyakutosha kesho nayo siku
good night
Hahaha, kweli..ngoja niamini hivyokokote siwezi
Malkia, mbona unaguna tena? Kuondoka kwako kumezaa maafa na mateso aisee...Mmmmh
Ya kupendaMazoezi gani
Hata mm naona naanza kusep mim mkesha umenishinda ngoj niwajibike hukuhuu mkesha kiboko atakaechoka ataondoka bila kuaga
Kivipi shimbaMalkia, mbona unaguna tena? Kuondoka kwako kumezaa maafa na mateso aisee...