Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Shunie anakuelekezaaAssignment ya Mbudya imepotezewa.
Shunie anakuelekezaaAssignment ya Mbudya imepotezewa.
Rudi page utayaona mkuu na uyajibu kwa ufasahaUna undugu na bashite??
Maswali yalikuwa yanasemaje
Asanteeeehongera 147k
Unafika harakaHaraka haraka........
Hahaha...angepambana naomukongo muoga malkia
Unajishtukiaa mkuuStoki ila naona kama wananichoka hivi
Kila aina ubuyu,ukwaju ,mixed fruits,maji,nanasi na tikiti,ice cream,yogurt,LozeraAko na sharubati gani Mama Mchungaji???
karibu

Neno langu sio sheria!!!....mukongo muoga malkia
Niachieee hilii lijamaaWanakujaga mmoko mmoko, wengine na madongo.....tukawa tunawa-ignore wakatuacha.....ila kuna vichwa naviona hapa havitakubali so litatokea battle na kuharibu hali ya hewa!!!
Amna tunaondoa stress tu mkuu wala si stukiUnajishtukiaa mkuu
FureshiMakapuku ni ajeeee!!!!
LEO MMETISHA COUPLE YA LEE EMPIRE Vs SHUNIE KWA KUTUPIAAsanteeee
Oyeee kila saaa au umelewa like zetu mkuu achaa wenge tulia mambo yajipeMkuu nimekuelewa
Makapuku oyeeee
AhaaaaaaahNawaona nawaona mnakula tuu mitama ya RC![]()
Oyooo shunie koma kumtajaUnamcheka shunie mkuu
Like si tatizo mkuu nachofanya na motivate my brainOyeee kila saaa au umelewa like zetu mkuu achaa wenge tulia mambo yajipe
Nilijuaaaaaaaaaaaaaila diktekta kuna pendeza ukienda mbudya uwe na wifihalaf mnabeba vinywaji vyenu vyote mnavyotaka kunywa peke ako utaboreka