Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Uko sahihi mkuuHata kama ni mafukara, tatizo liko wapi? Mafukara hawana haki ya kuwa na jukwaa lao na kujadili ufukara wao?
Angalizo: Kuna makapuku mamilionea (in US $s) na wasomi wenye PhD zao wako huku wanapunguza msongo unaoweza kuletwa na habari zisizokoma kumhusu Bashite, Koromije, Gwajiii na "upuuzi" mwingine usio na tija!
Bora ata wangevaa suruali kuliko kuvaa pensiJE WAJUA?
Wanawake wawili ambao walivaa kaptula kwa mara ya kwanza na kutembea barabarani (public area) walifanya wanaume kuwaangalia/kuwafuata nyuma na walisababisha ajali ya gari mwaka 1937
Ukipuuzwa na makapuku utaondoka tu. Jifunze protokali za huku. Ndo maana tukaambiwa ukienda Roma, fanya kama Waroma wanavyofanya. Siyo unaingia na mikwara na maneno meengi yasiyo na tija. Karibu!Na siondoki huku sababu mi mwenyewe kapuku tu
JE WAJUA?
Wanawake wawili ambao walivaa kaptula kwa mara ya kwanza na kutembea barabarani (public area) walifanya wanaume kuwaangalia/kuwafuata nyuma na walisababisha ajali ya gari mwaka 1937
Am backKazi njema see you later mkuu
Kweli mkuu tunakimbiza vibaya.Kasi ya huu uzi inanitisha.
Asubuhi ilikuwa nampongeza Shunie kwa 146k saa hizi ushafika 147k.
Kama ni gari basi Ngorika ya kipindi kile kabla ya tochi. Au Allyd Sports Bus, Dar MWANZA spidi yake sio ya kitoto.
Mimi naeasubiria nitusue 150k ili nikae kwenye vitabu vya kumbukumbu.
Kama kawaida...Naona gurudumu linasonga
JE WAJUA??
Mkunga umeme (An electric eel) inatoa umeme wenye kutosha kuwasha magari 50
Pamoko sanaAta magaid mnaruhusiwa ila muombe werrason naisi yeye ndie copro huku
BaelezeeHata kama ni mafukara, tatizo liko wapi? Mafukara hawana haki ya kuwa na jukwaa lao na kujadili ufukara wao?
Angalizo: Kuna makapuku mamilionea (in US $s) na wasomi wenye PhD zao wako huku wanapunguza msongo unaoweza kuletwa na habari zisizokoma kumhusu Bashite, Koromije, Gwajiii na "upuuzi" mwingine usio na tija!
Hahahahaaaaaaaa!Samahani dear! Nilikua natest zari!!! Yamenishinda!!!
Long live JF!!! Long live MAKAPUKU!!!
Kasi ya huu uzi inanitisha.
Asubuhi ilikuwa nampongeza Shunie kwa 146k saa hizi ushafika 147k.
Kama ni gari basi Ngorika ya kipindi kile kabla ya tochi. Au Allyd Sports Bus, Dar MWANZA spidi yake sio ya kitoto.
Mimi naeasubiria nitusue 150k ili nikae kwenye vitabu vya kumbukumbu.
Sorry mzeeMadenge, common sense please! Bestiality tena za nini? Usivuke mpaka bana!
Alafu kakosea nimemukosoaaLee huyu Jamaa ka-quote post kiporo
Ata magaid mnaruhusiwa ila muombe werrason naisi yeye ndie copro huku
HahHHaKaribu mpenz wangu
Nilikua nimekumiss jamani
Alaa kumbe, hata hivyo siku hizi hayapo tena kwa ruti ya Dar-Mwanza.Kweli mkuu tunakimbiza vibaya.
BUT nakuomba ulipie Tangazo lako hilo la mabasi ya Allys sports
Makapuku oyeeeHata kama ni mafukara, tatizo liko wapi? Mafukara hawana haki ya kuwa na jukwaa lao na kujadili ufukara wao?