Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
ww mtu au ulikua ww [emoji125]Ndio tena madogo
ww mtu au ulikua ww [emoji125]Ndio tena madogo
Men will always be men...and this boy might be traumatized for life! [emoji23][emoji23][emoji23]
sawa niliropoka mwenyewe na ile karibu na filling station [emoji134]Mimi wapi
Wakat ulilopokaa mwenyewe
Wewe Shunie [emoji180][emoji180][emoji180] una furaha?
aiseeee [emoji134] mm nimeridhika na lee wangu hivi hiviWewe Shunie [emoji180][emoji180][emoji180] una furaha?
Tatizo la Wabongo ni umbea na roho mbaya. Huwezi kushinda kwa Mange Kimambi au kwa Shigongo ukimeza sumu halafu eti uje uwe na furaha. No way. Kuepuka tu mambo yasiyo na faida katika personal level kungeweza kuondoa ukungu na sumu katika mioyo ya wengi.
Halafu roho mbaya tumezidi siye Wabongo. Hata bila sababu. Juzi hapa namuomba ushauri rafiki yangu kuhusu uendeshaji wa vituo vya mafuta (yeye anavyo na mimi ndo nimeanza). Badala ya kunishauri yeye ananikatisha tamaa na kuniomba niachane kabisa na biashara hiyo. Wakati huo huo yeye ndo biashara iliyomtajirisha.
Note: Shunie [emoji180][emoji180][emoji180] wewe rukhsa kuweka mafuta bure katika kituo changu. Haki ya nani hata uje na tanker ni sawa tu. Ila Lee akikatiza ni lazima apandishiwe bei potelea mbali hata akashtaki EWURA!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Wachambuzi wengi wanatabiri kuwa vita vingi vijavyo vitakuwa si vya kupigania mafuta wala raslimali zinginezo isipokuwa maji. Japo dunia imegubikwa na maji karibu kila kona, maji safi na salama ya kunywa yanazidi kuadimika na vyanzo vilivyopo tunazidi kuviharibu kwa kasi. Binadamu!
Nikilipataaa jina utakomaaaaaaasawa niliropoka mwenyewe na ile karibu na filling station [emoji134]
Wewe usipomtaja shunie haupumui carbonidioxede gas inavoonekana ....Wewe Shunie [emoji180][emoji180][emoji180] una furaha?
Tatizo la Wabongo ni umbea na roho mbaya. Huwezi kushinda kwa Mange Kimambi au kwa Shigongo ukimeza sumu halafu eti uje uwe na furaha. No way. Kuepuka tu mambo yasiyo na faida katika personal level kungeweza kuondoa ukungu na sumu katika mioyo ya wengi.
Halafu roho mbaya tumezidi siye Wabongo. Hata bila sababu. Juzi hapa namuomba ushauri rafiki yangu kuhusu uendeshaji wa vituo vya mafuta (yeye anavyo na mimi ndo nimeanza). Badala ya kunishauri yeye ananikatisha tamaa na kuniomba niachane kabisa na biashara hiyo. Wakati huo huo yeye ndo biashara iliyomtajirisha.
Note: Shunie [emoji180][emoji180][emoji180] wewe rukhsa kuweka mafuta bure katika kituo changu. Haki ya nani hata uje na tanker ni sawa tu. Ila Lee akikatiza ni lazima apandishiwe bei potelea mbali hata akashtaki EWURA!!![emoji23][emoji23][emoji23]
hahahhh namwambia asikutajieNikilipataaa jina utakomaaaaaaa
Msokotoo unamtosha kunambiaahahahhh namwambia asikutajie
Hata ukiliwekea hatimiliki jina lake mi naona nitafilisika kwa kulitaja. Oooh Shunie [emoji180][emoji180][emoji180]!!! What a beautiful and sexy name !!!Wewe usipomtaja shunie haupumui carbonidioxede gas inavoonekana ....
Ohhhhhh sifa zote zake au kuna kingine jamanHata ukiliwekea hatimiliki jina lake mi naona nitafilisika kwa kulitaja. Oooh Shunie [emoji180][emoji180][emoji180]!!! What a beautiful and sexy name !!!
Mkuu, unauliza majibu? Shunie [emoji180][emoji180][emoji180] njoo umjibu huyu [emoji125][emoji125][emoji125]Ohhhhhh sifa zote zake au kuna kingine jaman
MkuuuHata ukiliwekea hatimiliki jina lake mi naona nitafilisika kwa kulitaja. Oooh Shunie [emoji180][emoji180][emoji180]!!! What a beautiful and sexy name !!!
hahaha na yy mwenyewe atakua ameshasahauMsokotoo unamtosha kunambiaa
EnheTulibaki wawili muda ule
[emoji23][emoji23]Wewe usipomtaja shunie haupumui carbonidioxede gas inavoonekana ....